SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, November 7, 2014

BORESHA AFYA YAKO KWA KINYWAJI HIKI CHA ALOE VERA GEL




Je unafahamu maradhi mengi  husababishwa na utumbo wako wako kuwa mchafu?

Je unaqfahamu kuwa unavyopeleka gari lako service na mwili wako unahitaji?

Umewahi kufikiria njia za kusafisha utumbo wako?

Kutoa Sumu za Chemicals, Soda, Sigara, Madhara ya Madawa, Air Condition(AC), Juice za Box(Artificial Juice), Pombe(Alcohol) na mengi mengineyo?

Jaribu kufikiria unapata choo laini? Na je unapata kila siku?



Kutokupata choo huweza kusababisha maradhi kama Kuumwa Kichwa muda mrefu, Gesi Tumboni, Kansa ya Utumbo, Na mara nyingine Uti wa Mgongo unaweza kuoza.

Jipatie juice ya Aloe Vera Gel ni juice ambayo

 inatoa sumu mwilini(Cleansing)

Inaongeza kinga ya mwili

Inasaidia mmeng’enyo wa chakula ili kusaidia kwa wale wasiopata choo(Constipation)

Pia kuisaidia maradhi ya kama Presha, Kisukari, Vidonda vya Tumbo na Aleji.

Pia ni Anti-aging inapunguza kasi ya uzee.



Utahitajika kutumia chupa 4 na chupa moja utakunywa yote asubuhi(Flashing),

Zilizobaki utatumia nusu glass kutwa mara 2 kwa siku.

KWA MAELEZO ZAIDI AU KUJIPATIA JUICE(BIDHAA) YAKO  WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA 0783 149 561


0 comments:

Post a Comment