SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, September 12, 2014

NGUMI KUPIGWA KESHO MOSHI KATIKA UKUMBI WA Y.M.C.A HALL

Bondia Elick Mwenda   wa Malawi kushoto akitunishiana misuli na Alibaba Ramadhani baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Africa mpambano utakaofanyika kesho ijumaa katika ukumbi wa YMCA Hall Picha na SUPER D BLOG
Mabondia Raymond Mbwago kushoto Shomari Mirundi na Iddi Pialala wakisubili kupima uzitoi kwa ajili ya mpambano huo kesho ijumaa
Bondia Shomari Mirundi akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake...(MC)
Promota wa ngumi Georeg Endru katikati akiwanyoosha mikono juu mabondia Elick Mwenda   wa Malawi kulia na Alibaba Ramadhani baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Africa mpambano utakaofanyika kesho ijumaa katika ukumbi wa YMCA Hall Picha na SUPER D BLOG
Promota wa ngumi Georeg Endru katikatiakiwainua mikono juu bondia Said Yazidu wa Tanzania na Dijamel Dahou wa Aligeria baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa Dunia wa UBO
Picha na SUPER D BLOG
bondia Said Yazidu akitambiana na 
Dijamel Dahou wa Aligeria baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa Dunia wa UBO
Picha na SUPER D BLOG

0 comments:

Post a Comment