Mganga
Mkuu wa Zahanati ya TPA, Dkt. Mkunde Mlay akifungua mafunzo ya namna ya
kukabiliana na Ebola kwa Wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam wa
vitengo vya afya, zimamoto na ulinzi. Mafunzo hayo yalitolewa hivi
karibuni bandarini hapo na madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Dkt.
Kepha Bernard wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, akiwaonesha Wafanyakazi
wa Bandari ya Dar es Salaam namna ya kuvaa mavazi maalumu ya kujikinga
na virusi vya Ebola kabla ya kumhudumia mgonjwa.
Dkt.
Juma Mfinanga wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, akieleza jambo kwa
wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam namna ya kukabiliana na Ebola.
Mfano wa vazi maalumu la kujikinga na maambukizi ya virusi vya Ebola likioneshwa kwa wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam kutoka vitengo vya afya,
zimamoto na ulinzi wakifuatilia mada ya namna ya kujikinga na virusi vya
Ebola na kuwahudumia wagonjwa wa Ebola.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam wakifuatilia mada ya namna
ya kujikinga na virusi vya Ebola na kuwahudumia wagonjwa wa Ebola.

Simon Ntabaguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, akieleza kwa
wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam namna ya kuvaa na kuvua vazi
maalumu la kujikinga na maambukizi ya Ebola kwa watumishi wa afya.
Dkt.
Juma Mfinanga wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, akieleza kwa wafanyakazi
wa Bandari ya Dar es Salaam wa vitengo vya afya, zimamoto namna ya kuvaa
na kuvua vazi maalumu la kujikinga na maambukizi ya Ebola wakati wa
kutoa huduma kwa mwathirika.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam wa vitengo vya afya,
zimamoto wakifatilia mada ya namna ya kujikinga na virusi vya Ebola na
kuwahudumia wagonjwa wa Ebola.
PICHA NA ANKAL MICHUZI
0 comments:
Post a Comment