Kaimu Mkurugenzi wa Mtandao wa Jinsia Tanzani TGNP, Lilian Liundi
(katikati), akitoa hotuba yake wakati wa kongamano la wazi la jamii
kujadili mchakato wa kutengeneza katiba mpya. (kushoto), Mdau wa
Maendeleo Humphrey Polepole, na kulia Mwanaharakati wa Masuala ya
Kijamii na Haki za Binaadamu, Gemma Akimali.
Kushoto, Kaimu Mkurugenzi wa Mtandao wa Jinsia Tanzani TGNP, Lilian
Liundi akiteta jambo na Mwanaharakati wa Masuala ya Kijamii na Haki za
Binaadamu, Gemma Akimali.
Mwanaharakati na aliyekuwa Mjumbe wa Kamati iliyokusanya maoni ya
wananchi katika mchakato wa katiba mpya, Humphrey Polepole akichangia
mada katika kongamano hilo
Baadhi ya wanaharakati pamoja na wana jamii wakiwa kwenye Kongamano la
kujadili mchakato wa kutengeneza katiba mpya kwenye viwanja vya TGNP,
Mabibo Dar es Salaam
Baadhi ya wanaharakati pamoja na wana jamii wakiwa kwenye Kongamano la
kujadili mchakato wa kutengeneza katiba mpya kwenye viwanja vya TGNP,
Mabibo Dar es Salaam
Baadhi ya wanaharakati pamoja na wana jamii wakiwa kwenye Kongamano la
kujadili mchakato wa kutengeneza katiba mpya kwenye viwanja vya TGNP,
Mabibo Dar es Salaam.[/caption]
Mambo muhimu yaliojadiliwa katika kongamano hilo ni pamoja na ilani ya
wanawake katika katiba mpya kuangalia suala la usawa wa kijinsia,
wanawake wanapataje haki zao za msingi hasa katika suala la matibabu,
uzazi salama, elimu, maji salama, ushiriki wa kutosha katika nafasi za
ajira ngazi zote. Mengine ni pamoja na ushiriki sawa katika nafasi za
maamuzi na ulinzi wa kutosha kutokana na kukithiri kwa ukatili wa
Kijinsia. Kongamano hilo lilifanyika Agosti 6,2014 kwenye viwanja vya
TGNP jijini Dar es Salaam.
Friday, August 8, 2014
TGNP na Kongamano la Wazi Kujadili Mchakato wa Katiba Mpya
Posted by
Ally Shaaban Mgido's
at
Friday, August 08, 2014
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
0 comments:
Post a Comment