Maadhimisho
ya siku ya Mwanamke wa Afrika yaliyo ratibiwa na Women in
Law and Development in Africa-WiLDAF yafana jijini Dar es salaam. Ni
siku ya Mwanamke wa Afrika na husheherekewa kila mwaka tarehe 31
July toka ilipotamkwa rasmi mwaka 1963 July 31 na wanawake wa Pan
African waliokutana Dar es Salaam kwa wakati huo.Mada mbalimbali
zilitolewa ikiwemo mchakato mzima wa katiba mpya na changamoto zake.
Kulikuwa na watoa mada mbalimbali wakiwemo Dr Khoti Kamanga na Mh.
Getrude Mongela.
0 comments:
Post a Comment