
Kaimu Katibu Mkuu wa baraza la Taifa
la Mitihani, Dk. Charles E. Msonde akisoma matokeo hayo ya mitihani ya Ualimu kwa mitihani iliyofanyika mwaka huu nchini kote.

Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu.
Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825
Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia
12.54
Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.
0 comments:
Post a Comment