Mbunge
wa Temeke, Abbas Mtemvu, akimkabidhi msaada wa vyakula, Beatrice
Mgomele wa Makao ya Taifa, Kurasini, Dar es Salaam, wakati wa hafla ya
Mtemvu kukabidhi msaada wa tani tano ya vyakula kwa vituo na vya watoto
wanaoishi latika, mazingira magumu na wasiojiweza, leo Julai 13, 2014,
Temeke, Dar es Salaam.
Hamisi Ally wa Kituo cha Dar Alqama, Tandika akipokea msaada huo wa vyakula kwa niaba ya kituo hicho.
Mtemvu akimkabidhi, Aminajaat Kilemia wa Kituo cha Hiari Chang'ombe msaada wa vyakula kwa ajili ya kituo hicho
Ernest Theones wa Kituo cha Upendo cha Maganga, Temeke Mikoroshini, akipokea msaada kwa ajili ya kituo hicho.
Said Seif wa Kikundi cha Bajaji Disabled akipokea msaada kwa ajili ya kikundi hicho
Jasmin John kutoka kundi maalum la Kinamama wenye ulemavu akikabidhiwa msaada kwa ajili ya kundi hilo.
Mtemvu akizungumza na waandishi baada ya kukabidhi msaada, huo wenye vyakula vyenye uzito wa tani tano, vya sh. milioni kumi. Picha zote na Bashir Nkoromo
0 comments:
Post a Comment