Bondia Sadick Nuru (kushoto) akioneshana umwamba na Baraka Mchonge wakati wa pambano lao lililofanyika Siku ya Iddi Pili kwenye Ukumbi wa Manyara Park Manzese jijini Dar es Salaam.Katika pambano hilo Sadick, alishinda kwa pointi. |
Bondia Steven Kobelo (kushoto) akipambana na Karim Ramadhani. Katika pambano hilo hakupatikana mbabe.
Mabondia
Joseph Gili(kushoto)akioneshana umwamba wa na Ibrahimu Tamba Katika
pambano hilo Tamba alishinda kwa K/O raundi ya nne.
Bondia Julius Kisalawe (kushoto) na Ramadhani Kumbele wakichapana wakati wa pambano lao la kuwania ubingwa wa
TPBC
uliofanyika siku ya Iddi pili katika ukumbi wa Manyara Park Manzese Dar
es salaam Kumbele alishinda kwa point na kufanikiwa kuchukua ubingwa
huo. Picha na Super D
Kocha
mkongwe wa mchezo wa masumbwi nchini Habibu Kinyogoli 'Masta' kulia
akimvisha mkanda wa ubingwa bondia Ramadhani Kumbele baada ya kumdunda
Julius Kisalawe kwa point kushoto ni Mwamuzi Ally Bakari.
0 comments:
Post a Comment