Balozi
wa Tanzania katika Mashirika ya Umoja wa
Mataifa, Geneva, Mhe. Modest Mero (kanzu jeupe) akila futari pamoja na
wageni wake mbalimbali wakiwepo watanzania waishio Geneva katika futari
maalum aliyowaandalia nyumbani kwake jana.
wageni mbalimbali wakijipakulia futari hiyo katika makazi ya Balozi
Wakina mama nao wakila futari hiyo iliyoandaliwa na Balozi pamoja na familia yake katika makazi yao mjini Geneva.
Picha
cha mbalimbali za kumbukumbu na wageni waalikwa katika futari hiyo
zilipigwa. Picha ya Mwisho ni Balozi Mero akiwa na mkewe na binti yao
ambao ndio walikuwa waandazi wa futari hiyo.
0 comments:
Post a Comment