SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, June 17, 2014

WANACHAMA WA UVCCM MOROGORO WAKIMKATAA MWENYEKITI WAO KWA MABANGO MBELE YA MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWILU

  Baadhi  ya wajumbe wa UVCCM  wakiwa na mabango yenye ujumbe wa kumpinga mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Moro Bi. Erieth Suta
 Wajumbe kutoka Wilya ya Gairo
 Kamanda wa UVCCM akisoma moja ya mabango hayo,
 Mjumbe kutoka Wilaya ya Kilombero
 Kutoka wilaya ya Ulanga
 Baadhi ya wajumbe hao wakiingia kwenye Kikao hicho cha baraza la Vijana mkoa kwa nyimbo na mabango ya kumpinga mwenyekiti wao
 
NA SUFIANI MAFOTO