SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, June 30, 2014

DIAMOND AKUBALI MATEKEO YA BET AWARDS 2014 SOMA ALICHO KIANDIKA HUKO INSTAGRAM

"Tusipopenda kukubali Matokeo na Ushindi wa Wenzetu basi Daima Hatutaweza kuwa Washindani....Muhimu ni kujua wapi tulipotoka na Wapi tulipo Leo... Katika Nchi zaidi ya 20 zenye wasanii zaidi ya Million 40, kuchaguliwa Tanzania ni fursa, Heshima na Hatua kubwa... Cha Muhimu ni kuitumia vyema Fursa Hii na Kuhakikisha Mwakani tunapiga Hatua Zaidi!.... Asante sana kwa wote wanaozidi kuni support kwa hali na Mali, Mapambano ndio kwaaaanza yanaanza sasa.....!!!!!!@wcb_wasafi For Life Baby ������"

Diamond alikuwa kwenye kipengele cha BEST AFRICAN ACT , tuzo hiyo imenyakuliwa na msanii Davido kutoka nigeria

DAVIDO NDIYE MSHINDI WA BEST AFRICAN ACT BET AWARDS 2014

Baada ya kupokea tuzo yake davido ilikiandika hichi kwenye ukurasa wake wa instagram
Davido akiwa na Mr happy kwenye tuzo hizo za BET 2014