Postamasta mkuu na afisa mtendaji mkuu wa shirika la posta Tanzania Ndugu Deos Khamisi Mndeme(mwenye koti kushoto) akikabidhi cheti na hundi kwa mfanyakazi bora kitaifa kutoka wafanyakazi wasimamizi, Ndugu Michael Mhagama (kulia).
Ndugu Deos Khamisi Mndeme akikabidhi cheti na hundi kwa mfanyakazi bora kutoka wafanyakazi watendaji Ndugu Joseph Kakokele.
Mfanyakazi bora kutoka Divisheni ya Rasimali za Shirika, Fredrick Makundi, akipokea cheti na tuzo kutoka kwa Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakati wa hafla hiyo.
Mfanyakazi bora kutoka Divisheni ya Rasimali za Shirika, Abdallah Waziri, akipokea cheti na tuzo kutoka kwa Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakati wa hafla hiyo.
Mfanyakazi bora kutoka Ofisi ya Postamasta Mkuu, Mashala Lifunga, akipokea cheti na tuzo kutoka kwa Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakati wa hafla hiyo iliyofana kwa kiasi kikubwa.
Mfanyakazi bora kutoka Ofisi ya Postamasta Mkuu, Christopher Mjema, akipokea cheti na tuzo kutoka kwa Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), kwenye hafla hiyo.
Baadhi ya viongozi wa Shirika la Posta wakiwa pamoja na baadhi ya wafanyakazi bora katika hafla hiyo.
Meneja Mkuu wa Uendeshaji Biashara wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga, akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Meneja Mkuu wa Rasimali za Shirika la Posta Tanzania (TPC), John Lukonge, akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deos Mndeme akizungumza na wafanyakazi wa Shirika hilo, wakati alipokuwa akitoa hotuba yake ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day ) jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Meneja Mkuu wa Rasimali za Shirika, John Lukonge na kulia ni Meneja Rasilimali watu wa Shirika, Samuel Kasanga.
Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deos Mndeme akizungumza na wafanyakazi wa Shirika wakati alipokuwa akitoa hotuba yake ya May Day wakti wa hafla hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Posta wakimsikiliza Postamasta Mkuu wakati alipokuwa akizungumza nao katika hafla hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Posta wakimsikiliza Postamasta Mkuu wakati alipokuwa akizungumza nao katika hafla hiyo.
|
Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deos Mndeme (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi bora wa mwaka 2013/14 wakati wa hafla hiyo ya May Day, jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Posta wakisali wakati wa hafla ya kuwapongeza na kusherehekea Siku ya Wafanyakazi 'May Day' Makao Makuu ya Shirika hilo, Dar es Salaam jana. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Meneja Raslimali watu wa Shirika la Posta (TPC) ndugu Samuel Kasanga akitambulisha viongozi na wafanyakazi bora wa shirika hilo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakiwa katika hafla ya kuwapongeza wafanyakazi bora wa Shirika hilo pamoja na kusherehekea Siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day), Makao Makuu ya Shirika Posta House, Dar es Salaam jana.
Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakiwa katika hafla ya kuwapongeza wafanyakazi bora wa Shirika hilo pamoja na kusherehekea Siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day), Dar es Salaam jana.
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakifuatilia matukio mbalimbali yaliyokuwa yakifanyika wakati wa hafla hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakiwa katika hafla hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa shirika la posta wa makao makuu na mkoa wa Dar es salaam waliohudhuria hafla hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakifuatilia matukio mbalimbali yaliyokuwa yakifanyika wakati wa hafla hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakifuatilia matukio mbalimbali yaliyokuwa yakifanyika wakati wa hafla hiyo, Makao Makuu Posta House jijini jana.
Postamasta mkuu na afisa mtendaji mkuu wa shirika la posta ndugu Deos Khamisi Mndeme(waliokaa mstari wa mbele katikati) akizungumza na meneja raslimali watu ndugu Samuel Kasanga
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakifuatilia matukio mbalimbali yaliyokuwa yakifanyika wakati wa hafla hiyo.
Wafungua champeni wakati wa hafla hiyo Ndugu Hilda Kipara(kushoto) na Ndugu Vailet Mkapa wakiwa tayari kutekeleza wajibu wao
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakifuatilia matukio mbalimbali yaliyokuwa yakifanyika wakati wa hafla hiyo.
Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deos Mndeme, akipata chakula wakati wa hafla hiyo.
Mameneja Wakuu wa shirika la posta Ndugu Fortunatus Kapinga(kulia) anayesimamia uendeshaji biashara na John Lukonge anayesimamia raslimali za shirika wakijihudumia chakula wakati wa hafla hiyo.
Baadhiya wafanyakazi bora wa idara za makao makuu na mkoa wa Dar es salaam wakijihudumia chakula wakati wa hafla ya kuwapongeza.Mjumbe
Mjumbe wa Chama cha Mawasiliano(TEWUTA) tawi la mkoa wa Dar es salaam Ndugu Edwin Tibanyenda akisoma risala kwa niaba ya wafanyakazi wa Shirika la posta
Mwenyekiti wa Chama cha wafanyakazi wa mawasiliano( TEWUTA) tawi la makao makuu ya shirika la posta Ndugu Ahmed Kaumu akitoa neno la shukrani kwa niaba ya wafanyakazi
|