Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisikiliza kwa makini jinsi wauguzi wanavyotoa huduma ya afya kwa wagonjwa wakati alipotembelea mojawapo ya mabanda ya maonyesho ya Wauguzi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani yaliyofanyika kitaifa katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid mjini Arusha leo.
Wauguzi wakiandamana wakati wa maadhimisho ya siku ya wauguzi Duniani wakiwa na mabango mbalimbali katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha leo.
Wakimsikiliza Rais Jakaya wakati akihutubia.
Wauguzi wakiandamana wakati wa maadhimisho ya siku ya wauguzi Duniani wakiwa na mabango mbalimbali katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha leo. Picha na Fredy Maro