Bondia Floyd Myweathe (kushoto) akipangua ngumi ya Marcos Maidana, wakati wa pambano lao lililochezwa alfajili ya kuamkia jana. PointI za majaji, Judge Michael Pernick Scored 114-114, ambazo ni droo. Bert Clements alitoa pointi 117-111 na Dave Moretti, alitoa 116-112. |
Bondia Floyd Myweather kushoto akioneshana umwamba wa kumshambulia, Marcos Maidana wakati wa pambano lao. |
Bondia Floyd Myweather (kushoto) akidundana na Marcos Maidana.
Mabondia Rashid Matumla kushoto,Fransic Cheka na Kalama Nyilawila wakifuatilia pambano la Myweather na Maidana kupitia luninga katika ukumbi wa Igo Lounge Sinza, usiku wa kuamkia jana.