SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, May 5, 2014

Benki ya NBC yatoa elimu ya kifedha kwa wateja mjini Morogoro na kufundisha watoto kusoma jijini Dar

photo1
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Said Amanzi (kushoto) akipokea kitabu chenye mafundisho ya kifedha yanayofuata maadili ya kiiislamu kutoka kwa Meneja Tawi wa Benki ya NBC Morogoro, James Ndimbo wakati wa semina iliyoandaliwa kwa wateja wanaotumia huduma za kibenki zinafuata misingi ya kiislamu (NBC Islamic Banking ), iliyofanyika mjini humo hivi karibuni. Anayeangalia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara wenye  Viwanda  na Kilimo (TCCIA) Mkoa wa Morogoro, Bachoo S. Bachoo.
photo2
Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Industrial,  Judith Motta, (kulia) akiwafundisha kusoma baadhi ya watoto wanaolelewa katika kituo cha Child in the Sun  ikiwa ni sehemu ya mpango wa mameneja wa benki hiyo kanda ya Dar es Salaam hivi karibuni kujitolea muda wao kufundisha kwenye vituo mbalimbali vya watoto  wanaoishi katika vituo vya watoto wenye mahitaji.  Wanafunzi wapatao 27 katika kituo hiki kinachokusanya watoto toka mitaani na kuwalea chini ya uangalizi wenye maadili mzuri na mafunzo ya kazi za mikono hawajui kusoma wala kuandika.
photo3