Mkurugenzi Huru wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Lawrence Mafuru akizungumza wakati wa kuomba kura kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha. Mafuru alishinda nafasi aliyokuwa akiwania ya Mkurugenzi Huru wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Benki ya CRDB wakipewa karatasi za kupigia kura.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Benki ya CRDB wakipewa karatasi za kupigia kura.
Kura kabla ya kuhesabiwa.
Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB akimpongeza Mkurugenzi Huru wa Bodi hiyo, Lawrence Mafuru baada ya kuchaguliwa wakati wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha, mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kulia), akimpongeza Mkurugenzi Huru wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Lawrence Mafuru baada ya kuchaguliwa wakati wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha, mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyadhiyay.
Prosesa Mohamed Warsame akimpongeza Mkurugenzi Huru wa Bodi ya wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Lawrence Maferu.
---
Mr. Lawrence Nyasebwa Mafuru has been appointed to join CRDB Bank as an Independent Director. He will therefore be sitting in CRDB Bank Board Meetings as a Board Member.
Mr. Mafuru served as National Bank of Commerce (NBC) Managing Director from June 2010 until December 2012. He also served as Tanzania Bankers Association Chairman from January 2010 until December 2012.
Mr. Mafuru now works in the President's Delivery Bureau (PDB) under the Big Results Now (BRN) initiative as the Director of Resource Mobilisation and Economic Sectors Division.