RIZIKI DAUDI AKIWA KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI WADI YA WAZAZIMkaazi wa Kunduchi Beach katika Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
Riziki Daudi amejifungua watoto 4 alipojifungua kwa njia ya upasuaji wiki iliyopita katika hospitali ya Taifa muhimbili.
Kutokana kuwa na maisha magumu anaomba wasamaria wema kumsaidia kwa hali na mali hususani nguo za watoto pamoja na misaada mingine.
Watoto hao wanatunzwa katika chumba maalum katika jengo la wazazi.
Anaomba kwa wale watakaoguswa na tatizo hilo kuwasiliana na namba za simu:-
0783717648 Hadija Abeid
0717 365040 Thuwaiba mohamed
088711458 Daudi Haji
Wadau naomba tumsaidie kwa kusambaza habari hii katika vyombo vyenu
CHANZO: MZUKA WA FUNGO BLOG