Watu 12 wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 45 wamejeruhiwa katika ajali ya basi la Luhuye Express iliyotokea jana asubuhi katika kitongoji cha Ichila, kata ya Ityimilo wilaya ya Busega mkoani Simiyu. Basi hilo linafanya safari zake kati ya mikoa ya Mara na Mwanza
Muonekano wa basi hilo baada ya kutokea ajali hiyo. Chanzo cha ajali imeelezwa kuwa ni mwendo kasi, ambapo dereva alishindwa kulimudu na hatimaye kuacha njia, kugonga nyumba na baadaye kupinduka
NA RWEYUNGA BLOG