Wafanyabiashara
wadogo wakiwa tayari wameanza kuvamia maeneo ya barabara za mabasi
yaendayo kasi zinazoendelea kujengwa jijini Dar es Salaam, eneo la
Kivukoni mbele ya Mahaka Kuu kama walivyo naswa na kamera ya
Sufianimafoto nyakati za jioni jana.
Taratiiiibu
mara watajazana eneo hilli na watakapoanza kuondolewa wataona kama
wanaonewa baada ya kuzoea na kupata pesa katika eneo hili.
SUFIANIMAFOTO