SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, April 30, 2014

Rais Dkt Kikwete Akutana na Ujumbe wa Rais wa Burundi, na Viongozi wa Baraza la Uunguzi na Ukunga Mkoba Private Equity Fund.

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Sheikh Mohamed Rukara, Mjumbe maalum wa Rais wa Burundi Mhe Pierre Nkurunzinza, alipofika na ujumbe wake kuwasilisha ujumbe huo Ikulu jijini Dar es salaam 

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea toka kwa Sheikh Mohamed Rukara, ujumbe  maalum wa Rais wa Burundi Mhe Pierre Nkurunzinza, aliyeuwasilisha  ujumbe huo Ikulu jijini Dar es salaam 
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Sheikh Mohamed Rukara, Mjumbe maalum wa Rais wa Burundi Mhe Pierre Nkurunzinza, alipofika  kuuwasilisha ujumbe huo Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Dkt jakaya Mrisho Kikwete akihutubia akizindua rasmi  rasmi mpango wa Mkoba Private Equity Fund katika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam. 
 Rais Dkt jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kama alama ya kuzindua  rasmin mpango wa Mkoba Private Equity Fund katika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam. 

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya kalenda kutoka kwa Msajili wa Baraza la Uuuguzi na UkungaTanzania Mama Lena Mfalila wakati alipokutana na uongozi wa baraza hilo Ikulu jijini Dar es salaam .Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Seif S. Rashid. 
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya kumbukumbu na viongozi wa Baraza la Uuguzi na UkungaTanzania alipokutana nao  Ikulu jijini Dar es salaam. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Seif S. Rashid. 
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya kumbukumbu na viongozi wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania alipokutana nao  Ikulu jijini Dar es salaam. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Seif S. Rashid. (Picha nac Ikulu)