Mkurugenzi wa Masoko Airtel Tanzania Levi Nyakundi akiongea
na waandishi wa habari wakati wa kufunga kliniki ya kimataifa ya soka ya siku
tano ya Airtel Rising Stars kwenye uwanja wa Azam Compex. Kliniki hiyo ilileta
pamoja vijana zaidi ya 70 kutoka nchi 12 Barani Afrika.
Kocha Neil Scott kutoka shule za soka ya vijana za
Manchester United akiongea kwenye sherehe za kufunga kliniki ya soka ya
kimataifa ya Airtel Rising Stars kwenye uwanja wa Azam Compex. Kliniki hiyo
ilileta pamoja vijana zaidi ya 70 kutoka nchi 12 Barani Afrika. Pamoja naye ni
Andrew Stoke kutoka MUSS and Mkurugenzi wa Masoko Airtel Tanzania Levi
Nyakundi.
Mchezaji wa timu ya Tanzania ya Airtel Rising Stars Joseph
Prosper, akipokea cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko Airtel Tanzania Levi
Nyakundi baada ya kumalizika kwa kliniki ya soka ya kimataifa ya Airtel Rising
Stars kwenye uwanja wa Azam Compex. Kliniki hiyo ilileta pamoja vijana zaidi ya
70 kutoka nchi 12 Barani Afrika. Kushoto ni Meneja Uhusiano Airtel Tanzania
Jackson Mmbando.
Mchezaji wa timu ya Sierra Leone ya Airtel Rising Stars
Fatmata Mansaroly, akipokea cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko Airtel
Tanzania Levi Nyakundi baada ya kumalizika kwa kliniki ya soka ya kimataifa ya
Airtel Rising Stars kwenye uwanja wa Azam Compex. Kliniki hiyo ilileta pamoja
vijana zaidi ya 70 kutoka nchi 12 Barani Afrika. Kushoto ni Meneja Uhusiano
Airtel Tanzania Jackson Mmbando
Timu ya Tanzania ya Airtel Rising Stars wakiwa kwenye picha ya pamoja
baada ya kumalizika kwa kliniki ya siku tano ya soka ya kimataifa ya Airtel
Rising Stars kwenye uwanja wa Azam Complex. Waliokaa kutoka kushoto ni – Kocha
mkuu wa timu ya Wanawake Tanzania Rogasian Kaijage, Mkurugenzi Masoko Airtel
Tanzania Levi Nyakundi na Makocha kutoka shule za soka ya vijana za Manchesterb
United Neil Scott na Andrew Stokes.