Shigongo akizungumza kwa masikitiko jinsi watu wengi walivyo kwenye hatari ya kufa kwa ugonjwa wa ini.
…Akiwa
na jopo la madaktari. Kushoto ni Dk. Mtebe Majigo, Mganga Mkuu wa
Amana, Meshack Shing'wela (wa pili kulia) na Daktari Kiongozi Andrew
Method.
Ndeonasio
Towo kutoka Damu Salama akielezea umuhimu wa wananchi kupima damu
kubaini maradhi mbalimbali bila kusahau virusi vya homa ya ini.
Mwakilishi
kutoka SD Tanzania ambao ni wadau wa ugonjwa huo, Phillip Sawe,
akielezea umuhimu wa kupima mapema ugonjwa huo kabla mwili
haujashambuliwa.
Meneja
Mkuu wa Global Publishers, Abdalah Mrisho (kushoto) na Mwakilishi
kutoka Sanofa, Edwin Kisimbo, wakifuatilia kwa makini kilichokuwa
kikiendelea.
Dk. Majigo (wa pili kulia) akielezea ugonjwa huo unavyoambukiza kwa njia ambazo huambukiza Ukimwi.
Meshack Shing'wela akifafanua jambo.
kampeni za kutokomeza ugonjwa huo.
MKURUGENZI
wa Kampuni ya Global Publishers Ltd, Eric Shigongo, na wadau mbalimbali
wa afya leo walizungumzia madhara ya ugonjwa hatari wa homa ya ini
kwenye mkutano na wanahabari uliofanyika Hospitali ya Mkoa wa Ilala,
Amana Jijini Dar.
Miongoni
mwa wadau waliokuwa kwenye mkutano huyo ni madaktari mbalimbali, Sanofa
ambao huhusika na vipimo vya ugonjwa huo, Damu Salama ambao huhusika na
upimaji wa damu na SD Tanzania.
(PICHA : RICHARD BUKOS / GPL)
0 comments:
Post a Comment