Mkurugenzi Mwendeshajiwa Kituo
cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC),Elishilia Kaayaa kiwa amebeba watoto
watatu mapacha Catherine, Caroline na Cathrine
ambao walizaliwa mwanzoni mwa wiki hii katika Hospitali ya AICC Jijini Arusha. Wengine pichanini Mkurugenzi
wa Hospitali ya AICC Prof.Sendui Ole Nguyaine (kushoto), mama mzazi wa watotohao,
Aneth Kimario (katikati) pamoja na wauguzi wa Hospital ihiyo.
0 comments:
Post a Comment