Mjumbe wa
Bunge Maalum la Katiba Christopher Ole Sendeka akichangia mjadala
kuhusu vifungu vya kanuni vitakavyotumika katika Bunge Maalum la Katiba.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye ni Mwenyekiti wa chama cha Democratic Party (DP) MchungajiChristopher Mtikila akitoa hoja yake wakati wa Kikao cha Semina uundwaji wa Kanuni zitakazoongoza Bunge Maalum la Katiba jana Mjini Dodoma.
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati
inayoshughulikia uundwaji wa kanuni zitakazoongoza Bunge Maalum la
Katiba Bi. Mgeni Juma akisoma baadhi ya vifungu vya kanuni
vilivyofanyiwa marekebisho jana Mjini Dodoma.
Mweyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba Pandu Ameir Kificho akisisitiza jambo kwa wajumbe wa Bunge hilo jana Mjini Dodoma
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akimweleza jambo
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Mohamed Seif Khatib (kulia) Wakati
wa Kikao cha Semina uundwaji wa Kanuni zitakazoongoza Bunge Maalum la
Katibajana Mjini Dodoma. Kulia kwa Waziri Mkuu ni Makamu wa Pili wa Rais, Zanzibar Balozi Seif Ally Iddi.PICHA NA HASSAN SILAYO
0 comments:
Post a Comment