SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, March 6, 2014

Sheikh Ali Juma Tagalile alifariki alfajiri ya kuamkia leo

shehk_2f8c1.jpg
Sheik Ali Juma Tagalile (kulia) enzi za uhai wake akiwa na waumini wengine katika sala
Sheikh Ali Juma Tagalile alifariki alfajiri ya kuamkia leo katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa ambako alikuwa akilazwa mara kwa mara katika vipindi tofauti.

0 comments:

Post a Comment