![]()
Bondia Japhet Kaseba akiinua mikono juu wakati wa kupima uzito kwa ajili ya pambano lake la ubingwa wa Taifa, uzito wa Middle dhidi ya Thomas Mashali kushoto litakalofanyika Ukumbi wa PTA, Sabasaba, Dar es Salaam leo. Picha na superdboxingcoach.blogspot.com
|
Saturday, March 29, 2014
KASEBA NA MASHALI WAPIMA UZITO TAYARI KWA PAMBANO LAO KESHO PTA
Posted by
Ally Shaaban Mgido's
at
Saturday, March 29, 2014
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook




