Habari
mbaya zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mtoto mmoja kati ya mapacha
wanne Pichani amefariki dunia jioni ya leo baada ya kuugua kifua kwa
muda mfupi, ni mtoto wa kwanza kushoto ambaye pia ndiye alikuwa ni
mkubwa.
Taarifa zaidi zinakuja endelea kufuatilia
0 comments:
Post a Comment