Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa
Mambo ya Nje wa Misri Mhe. Nabil Fahmy alipomtembelea Jumamosi
Februari 22, 2013 jioni Ikulu jijini Dar
es salaam. Mhe. Fahmy amefanya ziara nchini kwa lengo la kuimarisha ushirikiano
kati ya nchi hizi mbili hususan katika nyanja za afya, elimu, uwekezaji na
siasa.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipookea ujumbe toka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Mhe. Nabil
Fahmy alipomtembelea Jumamosi Februari 22, 2013 jioni Ikulu jijini Dar es
salaam. Mhe. Fahmy amefanya ziara nchini kwa lengo la kuimarisha ushirikiano
kati ya nchi hizi mbili hususan katika nyanja za afya, elimu, uwekezaji na
siasa.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Mhe. Nabil
Fahmy na ujumbe wake walipomtembelea Jumamosi Februari 22, 2013 jioni
Ikulu jijini Dar es salaam. Mhe. Fahmy amefanya ziara nchini kwa lengo la
kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizi mbili hususan katika nyanja za afya,
elimu, uwekezaji na siasa.Picha na IKULU
0 comments:
Post a Comment