SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, January 13, 2014

Sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi zilivyofana

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea salamu ya heshma ya vikosi vya ulinzi katika kilele cha miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,huko uwanja wa Amaan leo

Wananchi na Viongozi waliohudhuria katika sherehe za kilele cha Miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,ziliaofamyika le katika uwanja wa Amaan
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la  vikosi vya ulinzi katika kilele cha miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,huko uwanja wa Amaan leo

 Viongozi mbali mbali wa Kitaifa na Mataifa wakisimama kupokea saklamu ya Heshma iliyotolewa na Vikosi vya Ulinzi wakati wa Sherehe za Kilele cha miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar katikaUwanja wa Amaan Mjini Unguja

 Wananchi na Viongozi waliohudhuria katika sherehe za kilele cha Miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,zilizofanyika le katika uwanja wa Amaan.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
 Vijana wa Mkoa wa Mjini Magharibi wakipita na bango lao linalowakaribisha watu mbele ya mgeni rasmi Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika   sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja


Kikosi cha Jeshi la Kikosi maalum cha kuzuiya magendo KMKM  kikipita mbele ya Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali MOhamed Shein na kutoa salam ya heshma  ya gwaride mwendo wa Haraka wakati wa Kilele cha sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar katika  Uwanja wa Amaan Mjini Unguja leo
 
 
  Kikosi cha Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU)  kikipita mbele ya Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali MOhamed Shein na kutoa salam ya heshma  ya gwaride mwendo wa Haraka wakati wa Kilele cha sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar katika  Uwanja wa Amaan Mjini Unguja leo


  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa Uganda Yoweri Museven, wakati wa kilele cha sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar katika  uwanja wa Amaan Mjini Unguja leo

     Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa  wakati wa kilele cha sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar katika  uwanja wa Amaan Mjini Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mke wa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Maria Nyrere   wakati wa kilele cha sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar katika  uwanja wa Amaan Mjini Unguja leo
 Kikosi cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakipita mbele ya Mgeni rasmi kutoa hesham ya gwaride mwendo wa Haraka wakati wa Kilele cha sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar katika  uwanja wa Amaan Mjini Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

0 comments:

Post a Comment