SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, January 13, 2014

Dk Shein afanya mazungumzo na Rais wa Comoro

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa Comoro Ikililou Dhoinine,alipofika Ikulu ya Migombani Mjini Unguja leo,Rais  wa Comoro alifika nchini kushiriki katika sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar ambazo kilele chake kitafanyika katika Uwanja wa Amaan
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Rais wa Comoro Ikililou Dhoinine,alipofika Ikulu ya Migombani Mjini Unguja leo,Rais  wa Comoro alifika nchini   kushiriki katika sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar ambazo kilele chake kitafanyika katika Uwanja wa Amaan.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Rais wa Comoro Ikililou Dhoinine,alipofika Ikulu ya Migombani Mjini Unguja leo,Rais  wa Comoro alifika nchini   kushiriki katika sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar ambazo kilele chake kitafanyika katika Uwanja wa Amaan
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

0 comments:

Post a Comment