SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, January 2, 2014

SAIDI MBELWA ALIPIZA KISASI KWA K,O RAUNDI YA 5 ALIYOPIGWA KWA POINT NA AMBOKILE CHUSA 2010!!

Bondia Said Mbelwa  kushoto akimchachavya Amokile Chusa wakati wa mpambano wao wa kufungua mwaka Mbelwa alishinda kwa K,O ya raundi ya tano mwaka 2010 mbelwa alipigwa kwa pointi na Chusa hivyo kulipiza kisasa kwa K,O ya raundi ya tano Picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com
Mabondia Ambokile Chusa kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Saidi Mbelwa wakati wa mpambano wao wa kushelekea mwaka mpya uliofanyika katika ukumbi wa Zulu Paredaise pugu kirumba mbelwa alishinda kwa K,O ya raundi ya tano hii ni mara ya pili kukutana ambapo mara ya kwanza mwaka 2010 mbelwa alipigwa kwa pointi na chusa picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Twaribu Mchanjo kushoto akioneshana umwamba wakutupiana makonde na Shabani Mtengela wakati wa mpambano wao wa kuukaribisha mwaka 2014 uliofanyika katika ukumbi wa zulu paraies pugu kirumba Mchanjo alishinda kwa pointi picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Twaribu Mchanjo kushoto akimshambulia kwa makonde Shabani Mtengela wakati wa mpambano wao wa kuukaribisha mwaka 2014 uliofanyika katika ukumbi wa zulu paraies pugu kirumba Mchanjo alishinda kwa pointi picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Shabani Mtengela akiwa chini oi baada ya kupewa konde zito na TWARIBU MCHANJO WAKATI WA MPAMBANO WAO PICHA NA www.superdboxingcoach.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment