Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akitia saini baada ya Kujiunga katika
Benki ya Kiislamu huko katika mtaa wa Mpirani Mjini Unguja ikiwa ni
shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akikata Utepe kuashiria uzinduzi wa Makao
Makuu ya Benk ya Kiislamu ya PBZ na Tawi Jipya huko katika mtaa wa
Mpirani Mjini Unguja ikiwa ni shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akisisitiza jambo wakati akitoa
hotuba ya Uzinduzi wa Benki ya Kiislamu huko katika mtaa wa Mpirani
Mjini Unguja ikiwa ni shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.kulia yake ni Waziri wa Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee na
kushoto yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benk ya kiislam Juma Amour.
Mwananchi akipatiwa huduma katika
Benki ya Kiislamu baada ya kuzinduliwa huko katika mtaa wa Mpirani Mjini
Unguja ikiwa ni shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Picha na Yussuf Simai -Maelezo Zanzibar
0 comments:
Post a Comment