SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, January 16, 2014

Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa Amkabidhi Rais Jakaya Kikwete nakala ya vitabu vya hotuba zake alizozitoa kwa nyakati tofauti wakati wa uongozi wake wa miaka kumi

Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa leo amemkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete nakala ya vitabu vya hotuba zake alizozitoa kwa nyakati tofauti wakati wa uongozi wake wa miaka kumi.Pichani Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akikabidhi Rais Kikwete vitabu hivyo katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.VitABU hivyo vimechapishwa na kampuni ya Mkuki na Nyota chini ya Mkurugenzi wake Bwana Walters Bugoya

0 comments:

Post a Comment