SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, January 15, 2014

MAULIDI YA KUZALIWA BWANA MTUME (S.A.W.) ZANZIBAR

  Wake wa viongozi katika Maulidi ya kuzaliwa Bwana Mtume (S.A.W.) yaliyofanyika jana katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja
 Watoto wa Madrasa wakighani Qasda  katika Maulidi ya kuzaliwa Bwana Mtume (S.A.W.) yaliyofanyika jana katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Viongozi wengine (kutoka kushoto) Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohamed Gharib Bilali,Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, na (kulia) makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi,wakiwa katika Maulidi ya kuzaliwa Bwana Mtume (S.A.W.) yaliyofanyika jana katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja.
  Wake wa viongozi katika Maulidi ya kuzaliwa Bwana Mtume (S.A.W.) yaliyofanyika jana katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja

 Maulidi ya Homu
 Sehemu ya wana Madrasa
  Baadhi ya viongozi katika Maulidi ya kuzaliwa Bwana Mtume (S.A.W.) yaliyofanyika jana katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi  katika Maulidi ya kuzaliwa Bwana Mtume (S.A.W.) yaliyofanyika jana katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Viongozi wengine (kutoka kushoto) Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohamed Gharib Bilali,Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, na (kulia) makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi,wakiwa katika Maulidi ya kuzaliwa Bwana Mtume (S.A.W.) yaliyofanyika jana katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja.
   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Sheikh Sherali Champsi Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Maulidi ya kuzaliwa Bwana Mtume (S.A.W.)  katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja  palipofanyika Maulid hayo. 
Picha na Ikulu Zanzibar

0 comments:

Post a Comment