SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, January 25, 2014

JOYCE KIRIA: WANAWAKE WA TANZANIA TUKIMBILIE WAPI?

Tukio hili limetokea kama wiki moja iliyopita, huko wilaya ya BUKOMBE mkoani GEITA.
Tukio hili liliripotiwa na RFA. Ni matukio yanayotokea mara kawa mara, wahanga wakubwa (watendwa) ni WANAWAKE.

Cha ajabu hakuna juhudi za makusudi za kutokomeza vitendo hivi. Wanawake tusimame pamoja kusema inatosha kwa unyama huu mkubwa tunaofanyiwa!

Poleni kwa picha hii mbaya sana, lakini tafakari maumivu aliyopata huyu mwanamke maskini ya Mungu...

Natamani hamasa ya kutokomeza ukatili ingefanyika kwa chopa kama....... Malizia mwenyewe!

ONYO Picha iliyopo kwenye soma zaidi inaleta usumbufu tunaomba radhi kwa picha hiyo na kama una roho ndogo tafadhali usiangalie na usiifungue picha hii mbele ya watoto.

KWA HISANI YA VIJIMAMBO BLOG..

0 comments:

Post a Comment