SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, January 4, 2014

DK.SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu,Hassan Khatib,(kulia) alipotembelea banda la Ofisi ya faragha

Ikulu,wakati wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora,Salum Maulid Salum,(katikati) alipotembelea banda la Ofisi  hiyo wakati wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka Afisa katika Banda la Ofisi ya mamako wa kwanza wa Rais Hamza Rijali,wakati wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Salum Kassim Ali,alipotembelea banda la ofisi hiyo wakati wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,ikiwa ni katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwapungia Mkono Maafisa katika banda la Tume ya Uchaguzi Zanzibar,alipotembelea  Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,ikiwa ni katika

shamra shamra za sherehe za Mapinduz
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed akisalimiana na Maafsa katika banda la Ofisi ya Mufti wa Zanzibar,alipotembelea  Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,ikiwa ni katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi,(katikati) ni Katibu wa Mufti Fadhil Suleiman Soraga
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipotembelea banda la Ofisi ya

Vitambulisho vya Taifa,wakati alipofungua  Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi
 Watoto hawakua nyuma kufika katika banda la Sober House,wenye Makamo yao Kwamchin Mwanzo,katika kujionea  maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyoanza jana katika viwanja vya Beit el Ras, ikiwa ni katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Makamu wa Kwanza wa Rais Sheikh Shariff Hamad walipotembelea banda la Wizara ya Kilimo,kuangalia Miche mbali mbali ya kilimo,baada ya kuyafungua maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyoanza jana katika viwanja vya Beit el Ras, ikiwa ni katika shamra shamra za sherehe za Mapinduz
 Mabanda ya Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,ikiwa ni katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi,kama yanavyoonekana yakiwa katika sura ya kupendeza
Washauri wa Rais na Viongozi mbali mbali wakiwa katika  Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika viwanja vya Beit el Ras,ikiwa ni katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi.

Picha zote na Ramadhan Othman,Ikulu.

0 comments:

Post a Comment