SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, December 21, 2013

Naibu waziri wa Afya na ustawi wa jamii Dk Seif Rashid afunga kambi ya watoto ya Artel 2013 Kilimanjaro

 Watoto kutoka mikoa ya Shinyanga, Simiyu na Geita waliokuwa wameweka kambi ya wiki moja katika hotel ya Uhuru mjini Moshi.
 Mganga mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dk Mtumwa Mwako akisalimia watoto(hawako pichani)wakati wa kufunga kambi ya wiki moja ya Ariel 2013 iliyofanyika katika hotel ya Uhuru mjini Moshi.
 Mkurugenzi mkuu wa shirika lisilo la kiserikali la AGPAHI ,Laurean Rugambwa Bwanakunu akizungumza wakati wa ufungaji wa kambi ya wiki moja ya Ariel 2013 
 Watoto wakisoma lisala yao kwa mgeni rasmi naibu waziri wa afya na ustawi wa jamii ,Dk Seif Rashid hayupo pichani.
 Mkurugenzi mkuu wa shirika lisilo la kiserikali la AGPAHI ,Laurean Rugambwa Bwanakunu akiteta jambo na naibu waziri wa afya na ustawi wa jamii ,Dk Seif Rashid..
 Watoto wakiimba wimbo .
 Watoto wakionesha vipaji vyao mbele ya mgeni rasm
 Keki kwa ajili ya watoto hao
 Mgeni rasmi katika siku ya ufungaji wa kambi ya watoto iliyofanyika mjini Moshi naibu waziri wa afya na ustawi wa jamii ,Dk Seif Rashid akimlisha keki mmoja wa watoto waliokuwa katika kambi hiyo kutoka mikoa ya Shinyanga,Simiyu na Geita.
 Mgeni rasmi katika siku ya ufungaji wa kambi ya watoto iliyofanyika mjini Moshi ,naibu waziri wa afya na ustawi wa jamii ,Dk Seif Rashid akitoa zawadi ya vifaa vya shule kwa mmoja wa watoto walioshiriki kambi hiyo kutoka mikoa ya Shinyanga,Simiyu na Geita.
Naibu waziri wa afya na ustawi wa jamii ,Dk Seif Rashid akitoa hotuba yake kwa watoto walioshiriki kambi hiyo kutoka mikoa ya Shinyanga,Simiyu na Geita.
 Naibu waziri wa afya na ustawi wa jamii ,Dk Seif Rashid akiwa katika picha ya pamoja na watoto pamoja na walezi wao.
Naibu waziri wa afya na ustawi wa jamii,Dk Seif Rashid akicheza na watoto wakati wa  kufunga kambi ya watoto iliyofanyika Uhuru hotel mjini Moshi. Picha zote na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi

0 comments:

Post a Comment