Licha ya mamlaka ya uthibiti wa usafiri wa nchi kavu na majini kuthibiti viwango vya nauli msimu huu wa krismasi na mwaka mpya baadhi ya wamiliki wa mabasi wamelalamikiwa kuendelea kutoza nauli kubwa tofauti na viwango halali vilivyowekwa na mamlaka husika.
0 comments:
Post a Comment