Wednesday, November 20, 2013
Mtu mmoja anayedaiwa kuwa ni mfanyabishara wa magari kutoka jijini Mwanza,amemuua mwanamke mmoja na kujeruhi vibaya watu watatu kwa kuwapiga risasi sehemu mbalimbali za miili yao katika eneo la ilala jijini Dar es Salaam na kisha kujiua mwenyewe kwa kujipiga risasi.
Posted by
Ally Shaaban Mgido's
at
Wednesday, November 20, 2013
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Labels:
amemuua mwanamke mmoja na........,
Mtu mmoja anayedaiwa kuwa ni mfanyabishara wa magari kutoka jijini Mwanza
0 comments:
Post a Comment