SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, November 1, 2013

Mbunifu Sheria Ngowi afunika kwenye tamasha la Mercedez Benz African Fashion Week,nchini Afrika Kusini

Mbunifu wa mavazi wa kutoka Tanzania,Sheria Ngowi (mwenye koti jeupe) akiwasalimia watazamaji waliofika kujionea Maonyesho ya Mavazi mbali mbali katika tamasha la Mercedez Benz African Fashion Week lililofanyika usiku huu katika Ukumbi wa Jiji la Pretoria,nchini Afrika Kusini.Mavazi ya Mbunifu Sheria Ngowi yalionekena kupendwa sana na watazamaji hao (hawapo pichani),kwani ilikuwa kila vazi likipita walisikika wakipiga kelele za kushangilia.

Wanamitindo wakipita jukwaani kuonyesha mavazi nadhifu yaliyobuniwa na Mtanzania Sheria Ngowi
NA H@KI NGOWI

0 comments:

Post a Comment