SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, November 1, 2013

MASHINDANO MPIRA WA MIGUU YA MPINGA CUP KUANZA RASMI KESHO

100_0102
ACP. KAHATANO AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WADAU KUTOKA BE FORWARD JP MR. HIRONORI YAMAKAWA (KULIA )KWA AFANDE NA MR, JACKSON MMBANDO – MENEJA WA AIRTEL NA ZTO MKOA WA DAR ES SALAAM (ACP KONJA) WAKATI WA MAKABIDHIANO YA VIFAA MBALIMBALI VYA MICHEZO WA MPIRA WA MIGUU YAANI MPINGA CUP, MASHINDANO YATAKAYO ANZA TAREHE 02/11/2013. MAKABIDHIANO HAYA YAMEFANYIKA LEO TAREHE 01/11/2013 MAENEO YA TRAFIKI MAKAO MAKUU DAR ES SALAAM. 100_0105
ACP. J. KAHATANO AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WADAU KUTOKA BE FORWARD JP MR. HIRONORI YAMAKAWA KULIA KWA AFANDE NA MR. JACKSON MMBANDO – MENEJA WA AIRTEL NA ZTO MKOA WA DAR ES SALAAM ACP. A.KONJA WAKATI WA MAKABIDHIANO YA VIFAA MBALIMBALI VYA MICHEZO WA MPIRA WA MIGUU “ MPINGA CUP” MASHINDANO YATAKAYO ANZA TAREHE 02/11/2013. MAKABIDHIANO HAYA YAMEFANYIKA LEO TAREHE 01/11/2013 MAENEO YA TRAFIKI POLISI MAKAO MAKUU DAR ES SALAAM. 100_0110
MR. JACKSON MMBANDO KUTOKA AIRTEL  AKIFAFANUA MAMBO MUHIMU KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU JINSI WAO WALIVYOYADHAMINI  MASHINDANO YA MPINGA CUP, MAZUNGUMZO HAYO YALIFANYIKA WAKATI WA MAKABIDHIANO YA VIFAA MBALIMBALI VYA MICHEZO WA MPIRA WA MIGUU YAANI MPINGA CUP, MASHINDANO YATAKAYO ANZA TAREHE 02/11/2013. MAKABIDHIANO HAYA YAMEFANYIKA  LEO TAREHE 01/11/2013 MAENEO YA TRAFIKI MAKAO MAKUU DAR ES SALAA. 100_0115
MR. HINONORI YAMAKAWA WA BE FORWARD JP AKIFAFANUA MAMBO MUHIMU KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MASHINDANO YA MPINGA CUP NA MADHUMUNI YAKE,  MAZUNGUMZO HAYO YALIFANYIKA WAKATI WA MAKABIDHIANO YA VIFAA MBALIMBALI VYA MICHEZO WA MPIRA WA MIGUU YAANI MPINGA CUP, MASHINDANO YATAKAYO ANZA TAREHE 02/11/2013. MAKABIDHIANO HAYA YAMEFANYIKA LEO TAREHE 01/11/2013 MAENEO YA TRAFFIKI MAKAO MAKUU DAR ES SALAA. 100_0117
MR. HINONORI YAMAKAWA WA BE FORWARD JP AKIFAFANUA MAMBO MUHIMU KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MASHINDANO YA MPINGA CUP NA MADHUMUNI YAKE.  MAZUNGUMZO HAYO YALIFANYIKA WAKATI WA MAKABIDHIANO YA VIFAA MBALIMBALI VYA MICHEZO WA MPIRA WA MIGUU KWWA WAENDESHA BODABODA WILAYA YA TEMEKE, MASHINDANO YATAKAYO ANZA TAREHE 02/11/2013. MAKABIDHIANO HAYA YAMEFANYIKA LEO TAREHE 01/11/2013 MAENEO YA TRAFIKI MAKAO MAKUU DAR ES SALAA. 100_0118
MR. HINONORI YAMAKAWA WA BE FORWARD JP AKIFAFANUA MAMBO MUHIMU KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MASHINDANO YA MPINGA CUP NA MADHUMUNI YAKE,  MAZUNGUMZO HAYO YALIFANYIKA WAKATI WA MAKABIDHIANO YA VIFAA MBALIMBALI VYA MICHEZO WA MPIRA WA MIGUU YAANI MPINGA CUP, MASHINDANO YATAKAYO ANZA TAREHE 02/11/2013. MAKABIDHIANO HAYA YAMEFANYIKA LEO TAREHE 01/11/2013 MAENEO YA TRAFFIKI MAKAO MAKUU DAR ES SALAA. 100_0134
ACP. J. KAHATANO AKIFAFANUA MAMBO MUHIMU KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MASHINDANO YA MPINGA CUP NA MADHUMUNI YAKE,  MAZUNGUMZO HAYO YALIFANYIKA WAKATI WA MAKABIDHIANO YA VIFAA MBALIMBALI VYA MICHEZO WA MPIRA WA MIGUU KWA WAENDESHA BODABODA MASHINDANO YATAKAYO ANZA TAREHE 02/11/2013. MAKABIDHIANO HAYA YAMEFANYIKA LEO TAREHE 01/11/2013 MAENEO YA TRAFIKI MAKAO MAKUU DAR ES SALAAM. 100_0143
ACP. J. KAHATANO KAIMU KAMANDA WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI (T) AKIPOKEA MIPIRA KUTOKA KWA WADAU WA USALAMA BARABARANI KUTOKA BE FORWARD JP MR. HIRONORI YAMAKAWA  NA  MR. JACKSON MBANDO MENEJA MAHUSIANO WA AIRTEL , WAKATI WA MAKABIDHIANO YA VIFAA MBALIMBALI VYA MICHEZO WA MPIRA WA MIGUU KWA WAENDESHA BODABODA WILAYA YA TEMEKE MASHINDANO YATAKAYOANZA TAREHE 02/11/2013. MAKABIDHIANO HAYA YAMEFANYIKA LEO TAREHE 01/11/2013 MAENEO YA TRAFIKI MAKAO MAKUU DAR ES SALAAM. 100_0147
ACP. J. KAHATANO  AKIKABIDHIWA MFANO WA HUNDI KUTOKA KWA MR.JACKSON MMBANDO – MENEJA MAHUSIANO WA AIRTEL WAKATI WA MAKABIDHIANO YA VIFAA MBALIMBALI VYA MICHEZO WA MPIRA WA MIGUU “MPINGA CUP”MASHINDANO YATAKAYOANZA TAREHE 02/11/2013. MAKABIDHIANO HAYA YAMEFANYIKA TAREHE 01/11/2013 MAENEO YA TRAFIKI POLISI MAKAO MAKUU DAR ES SALAAM. 100_0161
ACP. J.  KAHATANO KAIMU KAMANDA WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI (T) AKIFAFANUA MAMBO MUHIMU KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MASHINDANO YA “MPINGA CUP” NA MADHUMUNI YAKE,  MAZUNGUMZO HAYO YALIFANYIKA WAKATI WA MAKABIDHIANO YA VIFAA MBALIMBALI VYA MICHEZO KWA WAENDESHA BOBABODA WILAYA YA TEMEKE MASHINDANO YATAKAYO ANZA TAREHE 02/11/2013. MAKABIDHIANO HAYA YAMEFANYIKA TAREHE 01/11/2013 MAENEO YA TRAFIKI MAKAO MAKUU DAR ES SALAAM.
 
NA FUL SHANGWE BOG

0 comments:

Post a Comment