Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilalakifungua Kongamano la Wawekezaji wa Sekta ya Korosho nchini,lililofanyika jijini Dar es Salaam,leo katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere
Waziri wa Kilimo, Eng. Christopher Chiza, akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua kongamano hilo.
kumkaribisha Waziri wa Kilimo, kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua kongamano hilo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akizungumza na baadhi ya wadau wa Sekta ya Korosho, wakati akiagana nao baada ya kufungua rasmi Kongamano la Sekta ya Korosho Nchini. Kongamano hilo lililofunguliwa leo limefanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho, Mudhihir Mudhihir
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais wakati akisoma hotuba yake ya ufunguzi
Makamu wa Rais Dkt.Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau waliohudhuria Kongamano hilo,baada ya ufunguziPicha na OMR
0 comments:
Post a Comment