SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, November 17, 2013

Jeshi la wanamaji la Marekani laongoza mazoezi ya kukabiliana na uharamia.



Jeshi la wanamaji la Marekani limeongoza mazoezi ya kukabiliana na kudhibiti maharamia,wahamiaji haramu,usafirishaji silaha,uvuviharamu,uokoaji na ufuatiliaji wa meli katika pwani ya bahari ya Hindi, kwa kushirikiana na jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania kikosi cha wanamaji pamoja na taasisi za serikali zinazojihusisha na shughuli za bahari.

0 comments:

Post a Comment