SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, October 11, 2013

Wizara Ya Ujenzi Yaagizwa Kuendelea Na Utaratibu Wa Zamani Kwa Mwezi MmojaWaziri mkuu Mh. Mizengo Pinda ameiagiza wizara ya ujenzi kuendelea na utaratibu wa zamani uliokuwa unatumika kwa wasafirishaji wa malori na mabasi kwa kipindi cha mwezi mmoja wakati serikali ikitafuta ufumbuzi wa kudumu ili kunusuru uchumi wa nchi na ikilazimika mabadiliko ya kanuni yafanyike kwani nazo zinaonekana zina mgogoro.

0 comments:

Post a Comment