SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, October 26, 2013

Rais Jakaya Kikwete Aagana na Balozi wa Pakistan nchini Tanzania Tajammul Altac Aliyemaliza Muda Wake

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa  Pakistan nchini Mhe Tajammul Altac aliyefika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 26, 2013 kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Pakistan nchini Mhe Tajammul Altac aliyefika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 26, 2013 kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi.
Picha na IKULU

0 comments:

Post a Comment