SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, October 26, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA KIVUKO KIPYA CHA MV MALAGALASI WILAYA YA UVINZA MKOA KIGOMA

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi Kivuko kipya cha MV Malagalasi kilichopo Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma, wakati wa hafla ya uzinduzi huo iliyofanyika leo wilayani humo.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal, akibonyeza kitufye kuashiria uzinduzi rasmi wa kivuko kipya cha Mv Malagalasi, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika leo wilayani Uvinza Mkoa wa Kigoma. Kulia ni Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli.
  Makamu akizunguma na wananchi wa upande wa pili baada ya kuzindua kivuko hicho.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na viongozi wengine wakitelemka katika kivuko hicho baada ya kukizindua na kuvuka nacho hadi uapande wa pili.
 
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na viongozi wengine wakitelemka katika kivuko hicho baada ya kukizindua na kuvuka nacho hadi uapande wa pili.
Makamu akiwahutubia wananchi waliohudhuria hafla ya uzinduzi huo.
Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
 

0 comments:

Post a Comment