Baadhi
ya wanafunzi kati ya 45 wanaosoma kidato cha Nne katika shule ya
sekondari ya wasichana ya Luther iliyopo Mapinga Bagamoyo Mkoa wa Pwani
wakimkabidhi zawadi ya kumshukuru mwalimu wao Mkuu Mtanga Gerson wakati
wa Mahafali yao ya kwanza ya Kidato cha Nne tangu kuanzishwa kwa shule
hiyo mwaka 2010. Jumla ya wanafunzi 45 wanategemea kufanya mtihani wa
taifa wa kidato cha Nne hivi karibuni.Wapili kutoka kushoto ni
Mkurugenzi Rasmali Watu Mary Ngonyani,ambaye alikuwa mgeni rasmi katika
sherehe hizo na Mkurugenzi wa shule hiyo Aumsuri Kiwelu.
Mtaalamu
wa kutengeneza maabara za shule ,(Lab Technical) na mwalimu wa masomo
ya Chemistry, Biology katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Luther
iliyopo eneo la Mapinga Bagamoyo Mkoa wa Pwani Bw.Kalistus Mwendapole
akimuonesha Mkurugenzi Rasmali Watu Mary Ngonyani,alipotembelea maabara
ya shule hiyo akiwa mgeni rasmi wa mahafali ya kwanza ya kidato cha
Nne tangu kuanzishwa kwa shule hiyo mwaka 2010. Jumla ya wanafunzi 45
wanategemea kufanya mtihani wa taifa wa kidato cha Nne hivi karibuni.
Mgeni
rasmi wa mahafali ya kwanza ya Kidato cha Nne katika Shule ya sekondari
ya wasichana ya Luther iliyopo Mapinga Bagamoyo mkoa wa Pwani
Mkurugenzi Rasilimali watu wa Dawasa Bi.Mary Ngonyani,akimkabidhi Cheti
Anna Kiwali aliefanya vizuri katika masomo ya Hesabati na Sayansi
wakati wa mahafali ya kwanza ya Kidato cha Nne katika Shule ya sekondari
ya wasichana ya Luther iliyopo Mapinga Bagamoyo Mkoa wa Pwani.
Wanaoshuhudia, Kulia ni Mkurugenzi wa Shule hiyo Dr.Aumsuri Kiwelu na
Mkuu wa shule hiyo Mtanga Gerson.
Wanafunzi
wa shule ya sekondari ya wasichana ya Luther wakivishana mashada wakati
wa mahafali yao ya kwanza ya kidato cha Nne tangu kuanzishwa kwa
shule hiyo iliyoanzishwa mwaka 2010 jumla ya wanafunzi 45 walisherehekea
mahafali hayo yaliyofanyika shuleni hapo Mapinga Bagamoyo mkoa wa
Pwani.
Mgeni
rasmi wa mahafali ya kwanza ya Kidato cha Nne katika Shule ya sekondari
ya wasichana ya Luther iliyopo Mapinga Bagamoyo mkoa wa Pwani
Mkurugenzi Rasilimali watu wa Dawasa Bi.Mary Ngonyani ,akimkabidhi Cheti
Zainabu Chungu wakati wa mahafari hiyo wanaoshuhudia (wapili kutoka
kushoto) ni Kaimu Mkurugenzi wa shule hiyo Anna Kiwelu na Kulia ni
Mkurugenzi wa Shule hiyo Dr.Aumsuri Kiwelu.
Wanafunzi
wa Shule ya sekondari ya wasichana ya Luther iliyopo Mapinga Bagamoyo
mkoa wa pwani wakifurahia jambo wakati wa Mahafali yao ya kwanza ya
kidato cha Nne iliyofanyika shuleni hapo.
Mlezi
wa wa wanafuzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Luther iliyopo
Mapinga Bagamoyo ,Constansia Masawe akiwasalimia wazazi wa wanafunzi
wanaosoma katika shule hiyo waliofika katika sherehe ya mahafali ya
kwanza ya Kidato cha Nne kwa shule hiyo.
Baadhi
ya wanafunzii wa kitato cha Nne katika shule ya sekondari ya wasichana
ya Luther iliyopo Mapinga Bagamoyo wakiwa katika mahafali yao ya
kwanza tangu kuanzishwa kwa shule hiyo mwaka 2010. Jumla ya wanafunzi 45
walihitimu.
Kaimu
Mkurugenzi wa Shule ya wasichana ya Luther iliyopo Mapinga Bagamoyo
Anna Kiwelu akiongea wakati wa Mahafari ya kwanza ya shule hiyo .
Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Rasilimali watu wa Dawasa Mary Ngonyani ,
Kulia ni Mkurugenzi wa Shule hiyo Dr.Aumsuri Kiwelu .Mahafari hayo ya
kwanza yamewajumuisha jumla ya wanafunzi 45. Ambao wanategemea kufanya
mitihani ya kidato cha Nne hivi karibuni.
Protoko
Ofisa wa Shule ya sekondari ya wasichana ya Luther iliyopo Mapinga
Bagamoyo Mkoa wa Pwani,John Mwakilya akiwapa utaratibu baadhi ya
wanafunzi wa kidato cha Nne katika mahafali ya kwanza ya Kidato cha Nne
katika shule hiyo iliyoanzishwa mwaka 2010.Jumla ya wanafunzi 45 wa
kidato cha Nne wanategemea kufanya mtihani wa taifa hivi karibu.
0 comments:
Post a Comment