SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, October 8, 2013

MAA (MYSORE ALUMNI ASSOCIATION) inakualika katika kikao cha kuunda na kusajili chama cha wanafunzi wa zamani waliosoma Mysore-INDIA


MAA (MYSORE ALUMNI ASSOCIATION) inakualika katika kikao cha kuunda na kusajili chama cha wanafunzi wa zamani waliosoma Mysore kwa nia na madhumini ya kusaidiana kijamii na kiuchumi kitakachofanyika siku ya Jumamosi, tarehe 12.10.2013 Msimbazi Center kuanzia saa Tisa na nusu alasiri.
 Kufika kwako ndio mafanikio ya chama chetu, ukipata ujumbe huu mfikishie na mwenzio. 
Ahsanteni.

0 comments:

Post a Comment