Meneja
Huduma za Ziada wa Vodacom Tanzania, Matthew Kampambe (katikati)
akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwatangaza washindi 35
wa droo ya miito ya simu iliyozinduliwa na kampuni ya Vodacom wiki
iliyopita. Kupitia droo hio, wateja watano wanajishindia shilingi 50,000
kila siku. Kulia ni Bw. Salum Mwalimu, Meneja Mahusiano ya Nje wa
Vodacom na kushoto ni Mw. Mrisho Millao, Ofisa wa Bodi ya Michezo ya
Kubahatisha.
Meneja Mahusiano ya Nje wa Vodacom Tanzania, Bw. Salum Mwalimu (kulia)
akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwatangaza washindi 35
wa droo ya miito ya simu iliyozinduliwa na kampuni ya Vodacom wiki
iliyopita. Kupitia droo hio, wateja watano wanajishindia shillingi
50,000 kila siku. Katikati ni Meneja Huduma za Ziada wa Vodacom
Tanzania, Matthew Kampambe na kushoto ni Mw. Mrisho Millao, Ofisa wa
Bodi ya Michezo ya Kubahatisha.
Meneja Huduma za Ziada wa Vodacom Tanzania, Bw. Matthew Kampambe
(katikati) akizungumza na mmoja wa washindi wa shillingi 50,000 kwenye
simu wakati akichezesha droo ya miito ya simu iliyozinduliwa na kampuni
ya Vodacom wiki iliyopita. Kupitia droo hio, wateja watano wanajishindia
shillingi 50,000 kila siku. Kulia ni Bw. Salum Mwalimu, Meneja
Mahusiano ya Nje wa Vodacom na kushoto ni Mw. Mrisho Millao, Ofisa wa
Bodi ya Michezo ya Kubahatisha.
0 comments:
Post a Comment