Rais
Dkt Jakaya Kikwete akiongea machache kuwashukuru Mabalozi wa Heshima
kwa kukubali kwao kuitangaza Tanzania nchini Marekani na kusema sio kazi
rahisi lakini ana Imani nao na aliwatakia kila la kheri ya kuwa na nia
thabiti ya kuitangaza Tanzania nchini Marekani.
Raus Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na Mama William alipokuwa akiingia chumba cha mikutano cha Nyerere.
Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na mmoja wa Mabalozi wa Heshima.
Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Balozi wa Heshima Hon. Kjell Bergh kutoka Minnesota.
Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Balozi wa Heshima Hon. Ahmed Issa kutoka California.
Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Balozi wa Heshima Hon. Robert Samuel Shumake kutoka Michigan.
Rais
Dkt Jakaya Kikwete akitembea kwa miguu kutoka hotelini kwake kuja
kwenye Ubalozi wa Tanzania Marekani siku ya Jumatano Sept 18, 2013 na
kukutana na Mabaozi wa Heshima ambao jana Jumatano walisaini mikataba ya
kuwa rasmi Mabalozi wa heshima wataofanyakazi wakiiitangaza Tanzania
nchini Marekani kwa ajili ya uwekezaji, Utalii na mambo mengine
yatakayosaidia kuinua uchumi wa Tanzania.
Rais
Dkat Jakaya Kikwete akisalimiana na Maafisa Ubalozi wakiwemo
wafanyakazi mara tu alipoingia Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani
uliopo barabara ya 22, Washington DC.

Rais Dkt. Jakaya Kikwete akitia saini kitabu cha wageni Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.

Rais Dkt. Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha wageni huku Mhe. Bernard Membe na Mhe. Balozi Liberata Mulamula wakishuhudia.
Rais Dkt Jakaya Kikwete akipokea zawadi ya saa kutoka kwa Balozi wa Heshima Hon. Robert Samuel Shumake kutoka Michigan.
(Picha kwa hisani ya Vijimambo Blog)




0 comments:
Post a Comment